- 歌词
- 专辑列表
Eunia Simbagoye
-
Sifa
Sifa sifa sifa Na utukufu ni vyako Sifa sifa sifa Na utukufu ni vyako
Bwana ni mwokozi wangu Bwana ni nulu yangu Bwana Jehova jile Mimi ninakupenda
Sifa sifa sifa Na utukufu ni vyako Sifa sifa sifa Na utukufu ni vyako
Mimi ninakumbuka Upendo wako wa ajabu Urimtowa mwana wako wapekee Kuja kuniokowa Sitachoka kukuimbia Mpaka siku ya mwisho Yesu nikuone Mungu wa Nazareth
Sifa sifa sifa (sifa zako baba) Na utukufu ni vyako(yesu) Sifa sifa sifa (sifa zako Yesu) Na utukufu ni vyako 更多更详尽歌词 在 ※ Mojim.com 魔镜歌词网 Sifa sifa sifa( uuu sifa zako Yesu) Na utukufu ni vyako (oh)Sifa sifa sifa (sifa zako Yesu) Na utukufu ni vyako
Tutaimba tutacheza tuki muona yesu Tukimuon' alie tufia msalaba Tutaimba tutacheza tukimuona yesu Mataifa nayo yatakusanyika, Tutimba( wa china) tutacheza ( Australia,) tukimuona Yesu ( Tanzania Burundi na Rwanda) Tutaimba (tutakusanyika) tutacheza (tukiimba) tukimuona Yesu Ooh tutaimba! Tutaimba (uuuu) tutacheza tukimuona yesu Ooh tutaimba Tutaimba (tutacheza) tutacheza (hallelujah)tukimuona yesu (Oh tutaimba)Tutaimba ( imba imba imba) tutacheza (tutacheza)tukimuona yesu (Oh tutacheza ) tutaimba “ oh” tutacheza tutacheza tukimuona Yesu Ye ye ye ye tutaimba tutaimba tutacheza tutacheza kwafuraha tukimuona Yesu
Uuuu ye yeaaaaaa... uuuu Wo wo wo wo wo wo wo woooo Tutaimba, tutaimba, tukimuona ooooh Ye Ye Ye Ye Ye Ye Ye Ye Yesu…. Tutakuimbiya... Hallelujah!
-
|